Sadio Mane amejumuishwa kwenye kikosi cha Senegal kitakachoshiriki Kombe la Dunia nchini Qatar licha ya kusumbuliwa na majeraha siku ya Jumanne. Fowadi huyo mwenye umri wa miaka 30 alilazimika kutoka nje katika kipindi cha kwanza cha ushindi wa 6-1 wa Bayern Munich dhidi ya Werder Bremen.
Sadio Mané ameitwa katika kikosi cha Senegal kitakachoshiriki Kombe la Dunia
Related Posts
Life orientation grade 9 exam papers 2023 pdf
July 13, 2023
No Comment! Be the first one.